HUDUMA YA TANGAZA
Matangazo Ya Vifo
Tuma taarifa ya msiba kupitia fomu hii. Timu yetu itapokea maelezo yako na kukupatia mrejesho kabla ya tangazo kurushwa hewani.
1
Jaza taarifa muhimu za marehemu na msiba.
2
Weka mawasiliano sahihi ya mtu anaefanya maombi
3
Tutatunza ombi lako na kulifanyia kazi kwa ufuatiliaji wa redio.
Kabla Ya Kutuma
- Hakikisha majina ya mwombaji na marehemu yamejazwa kwa usahihi.
- Sehemu ya mazishi na mipango ya mazishi unaweza kujaza kulingana na hitaji.
- Lazima ujaze angalau mpokeaji mmoja kwenye sehemu ya "Habari Ziwafikie".
- Lazima ujaze TAREHE na uchague angalau MUDA mmoja wa kutangaza.
- Tarehe katika MUDA WA KUTANGAZWA haziruhusiwi kurudiwa.
- Kwa tarehe ya LEO, muda uliopita au uliobaki chini ya dakika 20 hautapatikana.
- Hakiki taarifa kabla ya kutuma au kufanya malipo
- Weka namba ya simu inayofanya malipo
- Fanya malipo kwenye Lipa Namba ya M-Pesa: 54222145 (Hakiki Jina: ITV INDEPENDENT TELEVISION).
- Baada ya kutuma, timu ya Radio One itapokea ombi lako kwa ufuatiliaji.
Fomu ya Kutuma Tangazo
Jaza taarifa zote kwa usahihi
Malipo ya Tangazo
Kamilisha malipo yako kwa usalama
Kiasi cha Kulipia
Tsh 0/=
Lipa kwa M-Pesa (Lipa Namba)
54222145
ITV INDEPENDENT TELEVISION
Weka namba ya simu unayotumia Kufanya Malipo (mfano: 0712345678, 0612345678, au 0751234567)
Inasubiri Malipo
Tunangoja uthibitisho wa malipo yako
05:00
⚠️ Kumbuka:
• Malipo yanapopokelewa, tangazo litachakatwa
• Usifunge au ku reload ukurasa huu
• Utapokea taarifa ya uthibitisho kupitia SMS
• Malipo yanapopokelewa, tangazo litachakatwa
• Usifunge au ku reload ukurasa huu
• Utapokea taarifa ya uthibitisho kupitia SMS